Uandishi wa Insha na Tungo Nzuri【電子書籍】[ James Kemoli Amata ]
<p>James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu. Alifunza Kiswahili kwa miezi 376 katika Shule Kuu Sekondari ya Wasichana ya Moi, Eldoret (Septemba 1976 ? 1986 na Julai 1990 ? Februari 2000); Shule ya Sekondari ya Wangulu, Wodanga (1987 ? Julai 1990) na Shule ya Sekondari ya ST John The Baptist, Likuyani (Februari 2000 ? 2007) akastaafu.<br />Hivi sasa ni mwandishi asiye na mipaka huku akiwa mtekelezi wa tiba mbadala katika Kampuni ya Bidhaa za Afya ya Tiens na wakati uo huo akiwa mjasiriamali katika kampuni kuu ya Fountain Enterprises Progaramme (FEP).</p>画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。
※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。
※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。
※このページからは注文できません。
- 商品価格:359円
- レビュー件数:0件
- レビュー平均:0(5点満点)